Malaika ndio viumbe bora kabisa wa Allaah. Lakini hata hivyo Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanaonelea kuwa muumini katika wanaadamu ni bora zaidi kuliko Malaika. Hili ni kwa maafikiano ya Ahl-us-Sunnah. Kwa kuwa wao wamewajibishiwa ´ibaadah na hivyo ni wenye kupewa mtihani wa matamanio. Hivyo wao ni bora kwa njia hii ikiwa kama wataamini na kuwa na msimamo.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com