Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Tambua – Allaah akuogoze katika kumtii

MAELEZO

Maneno yake:

“Tambua.”

ni minajili ya kuzindua. Maana yake kata na uyakinishe. Ni hukumu ya kutoka akilini ya kukata. Elimu ni kuwa na yakini bila ya shaka na kusita. Ambaye anajua na hatendi, ni mpotofu. Anayetenda pasi na elimu, ni mpotofu. Mwongofu ni yule anayefanya matendo kwa elimu na utambuzi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qawaa´id al-Arba´ah, uk. 121
  • Imechapishwa: 03/03/2023