230 – Abud-Dardaa´ amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
مَن توضأَ فأحسن الوضوء، ثم قام فصلّى ركعتين أو أربعاً -يشك سهل- يُحسِنُ فيهنَّ الذِّكرَ والخشوع، ثم استغفر اللهَ؛ غَفَر له
“Yule mwenye kutawadha na akatia vizuri wudhuu´ wake kisha akasimama na kuswali Rak´ah mbili au nne – Sahl ametia shaka – ambapo akafanya vizuri dhikr na unyenyekevu ndani yake halafu akamuomba Allaah msamaha, basi Allaah atamsamehe.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nuzri.
[1] Nzuri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/211)
- Imechapishwa: 29/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
230 – Abud-Dardaa´ amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
مَن توضأَ فأحسن الوضوء، ثم قام فصلّى ركعتين أو أربعاً -يشك سهل- يُحسِنُ فيهنَّ الذِّكرَ والخشوع، ثم استغفر اللهَ؛ غَفَر له
“Yule mwenye kutawadha na akatia vizuri wudhuu´ wake kisha akasimama na kuswali Rak´ah mbili au nne – Sahl ametia shaka – ambapo akafanya vizuri dhikr na unyenyekevu ndani yake halafu akamuomba Allaah msamaha, basi Allaah atamsamehe.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nuzri.
[1] Nzuri.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/211)
Imechapishwa: 29/01/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-yule-mwenye-kutawadha-na-akatia-vizuri-wudhuu-wake/