Aikidhi na familia yake au peke yake

Swali: Je, swalah ya ´iyd inakidhiwa kwa mkusanyiko au mmojammoja?

Jibu: Hapana neno akiilipa pamoja na watu wa nyumbani kwake. Hivo ndivo alivokuwa akifanya Anas. Ni sawa pia akiikidhi peke yake. Jambo ni lenye wasaa – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23494/هل-تقضى-صلاة-العيد-جماعة-ام-فرادى
  • Imechapishwa: 29/01/2024