284 – Hudhayfah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من تفل تجاه القبلة جاء يوم القيامة، وتفلته بين عينيه
“Yule atakayetema mate au kamasi upande wa Qiblah basi atakuja siku ya Qiyaamah na mate na kamasi zake yakiwa kati ya macho yake.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, Ibn Khuzaymah na Ibn Hibbaan.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/234-235)
- Imechapishwa: 15/11/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
284 – Hudhayfah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من تفل تجاه القبلة جاء يوم القيامة، وتفلته بين عينيه
“Yule atakayetema mate au kamasi upande wa Qiblah basi atakuja siku ya Qiyaamah na mate na kamasi zake yakiwa kati ya macho yake.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, Ibn Khuzaymah na Ibn Hibbaan.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/234-235)
Imechapishwa: 15/11/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/05-hadiyth-yule-atakayetema-mate-au-kamasi-upande-wa-qiblah/