3 – Kipengele cha tatu: Majina ya Allaah hayathibiti kwa kutumia akili. Hakika si venginevyo yanathibiti kwa Shari´ah
Majina ya Allaah yanatokana na Qur-aan na Sunnah kwa mujibu wa ilivyokuja kutoka kwa Allaah. Hiyo ina maana kuwa hakuzidishwi juu yake na wala hayapunguzwi. Akili haiwezi kuelewa yale majina ambayo yanamstahikia Allaah (Ta´ala). Kwa hiyo ni lazima kukomeka juu ya Shari´ah. Isitoshe kumwita yale ambayo hakujiita Mwenyewe au kupinga yale aliyojiita Mwenyewe ni jinai dhidi ya haki Yake (Ta´ala). Hivyo ikalazimika kushika adabu katika jambo hilo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 23
- Imechapishwa: 06/10/2022
3 – Kipengele cha tatu: Majina ya Allaah hayathibiti kwa kutumia akili. Hakika si venginevyo yanathibiti kwa Shari´ah
Majina ya Allaah yanatokana na Qur-aan na Sunnah kwa mujibu wa ilivyokuja kutoka kwa Allaah. Hiyo ina maana kuwa hakuzidishwi juu yake na wala hayapunguzwi. Akili haiwezi kuelewa yale majina ambayo yanamstahikia Allaah (Ta´ala). Kwa hiyo ni lazima kukomeka juu ya Shari´ah. Isitoshe kumwita yale ambayo hakujiita Mwenyewe au kupinga yale aliyojiita Mwenyewe ni jinai dhidi ya haki Yake (Ta´ala). Hivyo ikalazimika kushika adabu katika jambo hilo.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 23
Imechapishwa: 06/10/2022
https://firqatunnajia.com/04-hivi-ndivo-yanavyothibiti-majina-ya-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket