04. Hadiyth “Yule mwenye kutawadha, akaeneza vizuri wudhuu´, kisha akatembea… “

300 – ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

مَن توضّأ فأسبغَ الوضوءَ، ثم مشى إلى صلاةٍ مكتوبةٍ، فصلاّها مع الإمام؛ غُفرَ له ذنبُه

“Yule mwenye kutawadha, akaeneza vizuri wudhuu´, kisha akatembea kwenda katika swalah ya faradhi na akaswali pamoja na imamu, basi anasamehewa dhambi yake.”[1]

Ameipokea Ibn Khuzaymah[2].

[1] Swahiyh.

[2] Muslim na an-Nasaa´iy wote wawili wamepokea Hadiyth kama hiyo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/241)
  • Imechapishwa: 02/12/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy