253 – Jaabir bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayesema wakati anaposikia adhaana:
اللَّهُمَّ ربَّ هَذه الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ والصَّلاَةِ الْقَائِمَةِ آتِ مُحَمَّداً الوسيلة والْفَضِيلَةَ وَابْعَثْهُ مَقَاماً محموداً الذي وَعَدْتَهُ
“Ee Allaah, Mola wa mwito huu uliotimia na swalah iliosimama! Mpe Muhammad Njia (الوسيلة) na fadhilah, na mfikishe daraja yenye kusifiwa ambayo umemuuahidi.”
basi utamthubutikia uombezi wangu siku ya Qiyaamah.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy, Abu Daawuud, at-Tirmidhiy, an-Nasaa’iy na Ibn Maajah.
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/221)
- Imechapishwa: 07/03/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
253 – Jaabir bin ´Abdillaah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayesema wakati anaposikia adhaana:
اللَّهُمَّ ربَّ هَذه الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ والصَّلاَةِ الْقَائِمَةِ آتِ مُحَمَّداً الوسيلة والْفَضِيلَةَ وَابْعَثْهُ مَقَاماً محموداً الذي وَعَدْتَهُ
“Ee Allaah, Mola wa mwito huu uliotimia na swalah iliosimama! Mpe Muhammad Njia (الوسيلة) na fadhilah, na mfikishe daraja yenye kusifiwa ambayo umemuuahidi.”
basi utamthubutikia uombezi wangu siku ya Qiyaamah.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy, Abu Daawuud, at-Tirmidhiy, an-Nasaa’iy na Ibn Maajah.
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/221)
Imechapishwa: 07/03/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-yule-atakayesema-wakati-anaposikia-adhaana/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)