04. Hadiyth “Lau kama sio kuwatia uzito ummah wangu, basi ningeliwafaradhishia… “

208 – al-Bazzaar na at-Twabaraaniy wameipokea katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” kupitia kwa Al-´Abbaas bin ´Abdil-Muttwalib kwa tamko lisemalo:

لولا أنْ أشقَّ على أُمَّتي لَفَرضْتُ عليهم السواك عند كل صلاة، كما فرضتُ عليهم الوُضوء

“Lau kama sio kuwatia uzito ummah wangu, basi ningeliwafaradhishia kutumia Siwaak wakati wa kila swalah kama walivyofaradhishiwa kutawadha.”[1]

[1] Swahiyh kupitia zingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/202)
  • Imechapishwa: 08/01/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy