233 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´an) amesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
يُغفَرُ للمؤذن مُنتهى أذانه، وَيستغفرُ له كلُّ رَطبٍ ويابسٍ سَمِعه
”Muadhini anasamehewa kwa umbali inapofikia adhaana yake. Kinamuombea msamaha kila kilichorutubika na kikavu kilichomsikia.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi Swahiyh pamoja na at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Kabiyr”.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/213)
- Imechapishwa: 22/02/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
233 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´an) amesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
يُغفَرُ للمؤذن مُنتهى أذانه، وَيستغفرُ له كلُّ رَطبٍ ويابسٍ سَمِعه
”Muadhini anasamehewa kwa umbali inapofikia adhaana yake. Kinamuombea msamaha kila kilichorutubika na kikavu kilichomsikia.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi Swahiyh pamoja na at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Kabiyr”.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/213)
Imechapishwa: 22/02/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-muadhini-anasamehewa-kwa-umbali-inapofikia-adhaana-yake/