219 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona bwana mmoja ambaye hakuosha visigino vyake ambapo akasema:
ويلٌ للأعقابِ مِن النارِ
“Ole visigino kutokana na Moto.”[1]
Imekuja katika upokezi mwingine:
“Abu Hurayrah aliona kundi la watu wanatawadha kutoka ndani ya chombo akasema: “Timizeni vizuri wudhuu´ wenu! Kwani hakika mimi nimemsikia Abul-Qaasim (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
ويلٌ للأعقابِ مِن النارِ
“Ole visigino kutokana na Moto!”
Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim, an-Nasaa´iy pamoja na Ibn Maajah kwa kifupi.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/206)
- Imechapishwa: 18/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
219 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona bwana mmoja ambaye hakuosha visigino vyake ambapo akasema:
ويلٌ للأعقابِ مِن النارِ
“Ole visigino kutokana na Moto.”[1]
Imekuja katika upokezi mwingine:
“Abu Hurayrah aliona kundi la watu wanatawadha kutoka ndani ya chombo akasema: “Timizeni vizuri wudhuu´ wenu! Kwani hakika mimi nimemsikia Abul-Qaasim (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
ويلٌ للأعقابِ مِن النارِ
“Ole visigino kutokana na Moto!”
Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim, an-Nasaa´iy pamoja na Ibn Maajah kwa kifupi.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/206)
Imechapishwa: 18/01/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-mtume-alimuona-bwana-mmoja-ambaye-hakuosha-visigino-vyake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket