02. Hadiyth “Watu aina tatu hawasogelewi na Malaika… “

 174 – al-Bazzaar amepokea kwa cheni ya wapokezi Swahiyh kupitia kwa Ibn ´Abbaas, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:

“Watu aina tatu hawasogelewi na Malaika; mwenye janaba, mlevi na mwanamme ambaye amejitia manukato yaliyokuwa na zafarani na mwenye janaba mpaka atawadhe[1].”[2]

[1] Ibn-ul-Athiyr amesema:

”Ameikataza kwa sababu ni katika manukato ya wanawake.”

[2] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/184)
  • Imechapishwa: 05/04/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy