02. Hadiyth “Lau kama sio kuwatia ugumu ummah wangu… “

200 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

لولا أنْ أشُقَّ على أمتي لأمرتهم عند كل صلاة بوضُوء، ومع كلِّ وضُوءٍ بسواكٍ

“Lau kama sio kuwatia uzito ummah wangu, basi ningeliwaamrisha kutawadha wakati wa kila swalah na Siwaak kwa kila wudhuu´.”[1]

Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/198)
  • Imechapishwa: 31/12/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy