98- Abu Muusa (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika miongoni mwa kumtukuza Allaah ni kumuheshimu muislamu mwenye mvi, mbebaji wa Qur-aan, pasi na yule mwenye kuchupa mipaka kwayo wala mwenye kuzembea kwayo, pamoja na kumuheshimu mtawala mwadilifu.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud.
[1] Nzuri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/148)
- Imechapishwa: 02/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)