97- Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akikusanya kati ya watu wawili katika wauliwa wa Uhud ndani ya kaburi moja kisha anasema: “Ni nani katika ya hao wawili aliye na Qur-aan nyingi?” Akiashiriwa mmoja wao basi anamtanguliza kwenye mwanandani.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/148)
- Imechapishwa: 02/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
97- Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akikusanya kati ya watu wawili katika wauliwa wa Uhud ndani ya kaburi moja kisha anasema: “Ni nani katika ya hao wawili aliye na Qur-aan nyingi?” Akiashiriwa mmoja wao basi anamtanguliza kwenye mwanandani.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/148)
Imechapishwa: 02/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/01-hadiyth-mtume-alikuwa-akikusanya-kati-ya-watu-wawili-katika-wauliwa-wa-uhud/