Kitaab-us-Swiyaam
Maana ya swawm kwa mujibu wa Shari´ah ni kujizuilia na vifunguzi kwa nia, kutoka kwa mtu maalum na ndani kwa wakati maalum.
Tunaposema `kujizuilia na vifunguzi kwa nia` ndani yake kuna ni ubainifu kwamba kufunga kunahitaji nia, kama itakavyokuja.
Tunaposema `vifunguzi´ ni kula na kunywa, hayo mawili kuna maafikiano juu yake. Mengineyo kuna makinzano kati ya wanazuoni ambayo itakuja huko mbele – Allaah akitaka.
Tunaposema `kutoka kwa mtu maalum` ni muislamu mwenye kuwajibika. Mwanamke anaongezewe kwamba asiwe na hedhi wala damu ya uzazi.
Tunaposema ´ndani kwa wakati maalum´ ni kuanzia kuchomoza alfajiri ya pili hadi kuzama kwa jua.
Swamw ya Ramadhaan ilifarahishwa katika mwaka wa pili baada ya kuhajiri kwa maafikiano. Lakini kufaradhishwa kwake ilikuwa hatua kwa hatua. Allaah (Ta´ala) alifaradhisha kufunga ambapo akafanya khiyari kati ya mtu kufunga na kulisha masikini kwa kila siku, licha ya kwamba kufunga ndio ilikuwa bora zaidi. Amesema (Ta´ala):
فَمَن تَطَوَّعَ خَيْرًا فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُ ۚ وَأَن تَصُومُوا خَيْرٌ لَّكُمْ
”Na atakayejitolea kwa jema lolote lile basi ni bora kwake.”[1]
Hatua nyingine Allaah akawajibisha kufunga kwa wale wasio wagonjwa wala hawasafiri na kwamba wanatakiwa kulipa pale ambapo utaondoka udhuru.
[1] 02:183-185
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Minhat-ul-´Allaam fiy Sharh Buluugh-il-Maraam (05/05-06)
- Imechapishwa: 28/01/2025
Kitaab-us-Swiyaam
Maana ya swawm kwa mujibu wa Shari´ah ni kujizuilia na vifunguzi kwa nia, kutoka kwa mtu maalum na ndani kwa wakati maalum.
Tunaposema `kujizuilia na vifunguzi kwa nia` ndani yake kuna ni ubainifu kwamba kufunga kunahitaji nia, kama itakavyokuja.
Tunaposema `vifunguzi´ ni kula na kunywa, hayo mawili kuna maafikiano juu yake. Mengineyo kuna makinzano kati ya wanazuoni ambayo itakuja huko mbele – Allaah akitaka.
Tunaposema `kutoka kwa mtu maalum` ni muislamu mwenye kuwajibika. Mwanamke anaongezewe kwamba asiwe na hedhi wala damu ya uzazi.
Tunaposema ´ndani kwa wakati maalum´ ni kuanzia kuchomoza alfajiri ya pili hadi kuzama kwa jua.
Swamw ya Ramadhaan ilifarahishwa katika mwaka wa pili baada ya kuhajiri kwa maafikiano. Lakini kufaradhishwa kwake ilikuwa hatua kwa hatua. Allaah (Ta´ala) alifaradhisha kufunga ambapo akafanya khiyari kati ya mtu kufunga na kulisha masikini kwa kila siku, licha ya kwamba kufunga ndio ilikuwa bora zaidi. Amesema (Ta´ala):
فَمَن تَطَوَّعَ خَيْرًا فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُ ۚ وَأَن تَصُومُوا خَيْرٌ لَّكُمْ
”Na atakayejitolea kwa jema lolote lile basi ni bora kwake.”[1]
Hatua nyingine Allaah akawajibisha kufunga kwa wale wasio wagonjwa wala hawasafiri na kwamba wanatakiwa kulipa pale ambapo utaondoka udhuru.
[1] 02:183-185
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Minhat-ul-´Allaam fiy Sharh Buluugh-il-Maraam (05/05-06)
Imechapishwa: 28/01/2025
https://firqatunnajia.com/01-utambulizo-wa-neno-swawm/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)