152- Jaabir ameeleza:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kukojoa ndani ya maji yaliyotulizana.”[1]
Ameipokea Muslim, Ibn Maajah na an-Nasaa’iy.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/174)
- Imechapishwa: 10/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
06. Hadiyth “Mtume wa Allaah amekataza kukojoa… “
150- Mak-huul amesema: “Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kukojoa katika milango ya misikiti.”[1] Ameipokea Abu Daawuud katika “al-Maraasiyl”. [1] Nzuri kupitia zengine.
In "01. Matahadharisho ya kujisaidia katika njia, vivuli na sehemu za maji"
5. Ni vipi ataswali na kutawadha mgonjwa aliyewekewa mfuko wa kukojoa?
Swali 05: Ni vipi ataswali na kutawadha mgonjwa aliyewekewa mfuko wa kukojoa? Jibu: Atatakiwa kuswali vile hali yake ilivyo. Ni kama mfano wa mtu anayetokwa na mkojo hovyo na mwanamke anayetokwa na damu ya ugonjwa. Mgonjwa atatakiwa kuswali pale kunapoingia wakati vile hali yake ilivyo. Atafanya Tayammum ikiwa hawezi kuyatumia…
In "Wudhuu´"
Kukojoa kwa kusimama na kujipangusa na kuta
Swali: Inajuzu kukojoa kwa kusimama na kujipangusa kwenye kuta ikiwa kuna maji? Jibu: Ndio. Yote mawili yanajuzu. Inajuzu kukojoa kwa kusimama, lakini lililo bora zaidi ni kukojoa kwa kukaa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya yote mawili. Alikojoa kwa kukaa, jambo ambalo alikuwa akifanya mara nyingi, na alikojoa kwa kusimama.…
In "Kutamba kwa maji na mawe"