Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Maana ya Bid´ah – aina na hukumu yake.

Sura ya pili: Kudhihiri kwa Bid´ah katika maisha ya waislamu na sababu zilizopelekea huko.

Sura ya tatu: Msimamo wa Ummah Kiislamu kutokamana na wazushi na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah juu ya kuwaraddi.

Sura ya nne: Kuzungumzia mifano ya Bid´ah za kisasa kama zifuatazo:

1- Kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

2- Kufanya Tabarruk kwa maeneo, athari, wafu na mfano wake.

3- Bid´ah katika uwanja wa ´ibaadah na kujikurubisha kwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd, uk. 167
  • Imechapishwa: 25/06/2020