Zakaat-ul-Fitwr kwa wazazi waliofariki

604 – Nilimsikia Ahmad akitaja kuwa ´Atwaa alikuwa akiwatolea Zakaat-ul-Fitwr wazazi wake waliofariki. Nikamuuliza: “Unapendelea jambo hilo, ee Abu ´Abdillaah?” Akajibu:

“Ni jambo zuri akilifanya.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaail-ul-Imaam Ahmad, uk. 124
  • Imechapishwa: 01/05/2022