Wasiwasi na mawazo juu ya dhati ya Allaah


Swali: Mimi ni kijana mwenye msimamo ninayesibiwa na jambo siku zote, jambo lenyewe ni wasiwasi na mawazo kuhusu dhati ya Allaah (´Azza wa Jall). Je, nina dhambi juu ya hilo?

Jibu: Unapoanza kuhisi hilo jaribu kuachana na fikira hizo na mtake Allaah kinga dhidi ya shaytwaan aliyefukuzwa. Kwa idhini ya Allaah yataisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017