Wanaowatahiri watoto wa kike ni watu wenye uzowefu

Swali: Je, ni katika Sunnah kumtahiri msichana wangu?

Jibu: Kutahiri msichana ni Sunnah. Kuhusu kumtahiri mvulana ni wajibu.

Lakini asimtahiri yeye ilihali hana uzowefu. Ni lazima awe ni mwanamke mwenye kutahiri aliye na uwezofu wa kutahiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-4_1.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020