Vitu tamtam vilivyozuliwa

Swali: Katika mji wangu wanasherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakati huo huo wanagawanya vitu tamtam kama zawadi kwa watoto. Je, inafaa kwao kuvila?

Jibu: Hapana. Ni Bid´ah. Hakukuliwi kile kilichotengenezwa kwa ajili yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017