Swali: Ni ipi hukumu ya kutazama taarifa ya khabari pamoja na kujua ya kwamba anayeleta utangulizi wa khabari ni mwanamke?
Jibu: Hamkutenzwa nguvu kutazama khabari. Unafaidika nini kwa kutazama khabari? Kuna radio ambayo inatoa taarifa ya khabari bila ya picha. Sikiliza kupitia radio.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-5-13.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014