Swali: Leasing ya ahadi ya ununuzi wakati muda wa kukodisha umemalizika pia imeharamishwa?

Jibu: Huku ni kutafuta tu upenyo. Pindi walipoambiwa kwamba leasing ni haramu wakaongezea sentesi “ahadi”. Yote hayajuzu. Yote hayo ni kutafuta tu upenyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022