´Aqiyqah haisihi kutokana na Udhhiyah wala kinyume chake. Ikiwa siku ya kuchinja itaangukia ile siku ya saba ya mtoto, basi kinachodhihiri ni yeye achinje Udhhiyah na achinje kondoo wawili wa ´Aqiyqah. Kwa sababu kila kimoja katika viwili hivyo kina malengo yake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 154
  • Imechapishwa: 04/07/2022