Swali: Laana ya mama kwa mwanae inaitikiwa hata kama mtoto huyo atakuwa amedhulumiwa au mama akawa ni mtenda madhambi mazito?

Jibu: Ndio. Kunakhofiwa ikaitikiwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 302
  • Imechapishwa: 04/07/2022