Tofauti kati ya maandiko tukufu ya Muusa na Tawraat

Swali: Je, kuna tofauti kati ya maandiko tukufu ya Muusa (صحف) na Tawraat?

Jibu: Ndio. Tawraat ni Kitabu ambacho Allaah alimteremshia Muusa. Maandiko tukufu ni kana kwamba ni mawaidha na mazingatio.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
  • Imechapishwa: 05/11/2021