Swali: Ni yapi maoni yenye nguvu juu ya Tayammum ni yenye kuruhusiwa au yenye kusafisha?

Jibu: Maoni yenye nguvu ni kwamba ni yenye kusafisha. Ina hukumu moja kama wudhuu´; katika mambo yote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 16/11/2016