Swali: Ni kosa kutupa mifupa kwenye taka kwa kuzingatia ya kwamba ni chakula cha ndugu zetu majini?

Jibu: Hapana, si kosa. Lakini usijisafishe nayo baada ya kukidhi haja zako au kuichafua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3