Tuache Nyama Kwenye Mifupa Kwa Sababu Ya Majini?

Swali: Je, inajuzu kwetu kuacha nyama kwenye mifupa?

Jibu: Hapana. Hukuambiwa uache nyama kwenye mifupa. Ulichoambiwa ni usijisafishe nayo baada ya kukidhi haja zako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017