Ni kweli inafaa kujifunza uchawi pasina kuutendea kazi?

Swali: Nimemsikia mtu akisema ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Jifunzeni uchawi na wala msiufanyie kazi.”

Je, Hadiyth hii ni Swahiyh?

Jibu: Haikusihi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutokana na tunavyojua. Ni maneno yaliyoundwa.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/368)
  • Imechapishwa: 24/08/2020