Swali: Wiki ijayo kuna waislamu ambao watasherehekea mazazi ya Mtume. Unatunasihi nini sisi juu ya matangamano yetu pamoja na familia zetu katika miji yetu?

Jibu: Wanasihini na muwabainishie kuwa jambo hili halina msingi katika Shari´ah na kwamba ni Bid´ah. Wabainishieni hili. Huu ndio wajibu wenu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (03) http://alfawzan.af.org.sa/node/2046
  • Imechapishwa: 22/10/2016