Mkusanyiko wa pili katika swalah ya ´iyd

Swali: Muislamu afanye nini akiingia msikitini asubuhi siku ya ´iyd na akakutana watu wameshaswali swalah ya ´iyd. Je, inajuzu kwake kuswali swalah ya mkusanyiko mwingine?

Jibu: Ndio, wanaweza kuswali [swalah ya] mkusanyiko mwingine kwa imamu na sifa na sura ya swalah ya ´iyd.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014