Mke Kumchezea Mume Wake


Kuhusiana na mwanamke kumchezea mume wake na mbele yao kukawa hakuna yeyote hakuna neno. Hilo huenda mume wake akavutika zaidi kwake. Kila ambavyo mume atavutika kwa mume wake, basi ni jambo linatakikana maadamu jambo hilo sio haramu kwa dhati yake. Kwa ajili hii ni Sunnah kwa mwanamke kujipamba kwa ajili ya mume wake kama ambavyo imesuniwa vilevile kwa mume kujipamba kwa ajili ya mke wake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' ash-Shahriy (12)
  • Imechapishwa: 06/06/2017