Mke anakataa kufanya jimaa na mume wake


Swali: Mwanaume anawajibika kufanya nini ikiwa anataka kufanya jimaa na mke wake na akakataa?

Jibu: Mke hatakiwi kuwa muasi kwake au kukataa kufanya jimaa. Ikiwa ataendelea kukataa, ana ruhusa ya kumpiga bila ya kumuumiza. Hali kadhalika hastahiki kupewa matumizi au kugawawi usiku sawa na wake zake wengine.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (32/280)
  • Imechapishwa: 20/09/2020