Swali: Ni ipi hukumu ya vigelegele ambavyo wanawake kufanya kwa mnasaba wa sikukuu?
Jibu: Haijuzu kwa mwanamke kunyanyua sauti mbele ya wanaume wa kando. Kuna fitina katika sauti yake. Haijalishi ni mamoja ikiwa ni vigelegele au kitu kingine. Isitoshe vigelegele ilikuwa, na mpaka hivi sasa bado, haijulikani kwa waislamu. Ni desturi mbaya ambayo inatakiwa kuepukwa. Inajulisha pia kutokuwa na haya.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Makaanat-ul-Mar’ah fiyl-Islaam, uk. 620
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya vigelegele ambavyo wanawake kufanya kwa mnasaba wa sikukuu?
Jibu: Haijuzu kwa mwanamke kunyanyua sauti mbele ya wanaume wa kando. Kuna fitina katika sauti yake. Haijalishi ni mamoja ikiwa ni vigelegele au kitu kingine. Isitoshe vigelegele ilikuwa, na mpaka hivi sasa bado, haijulikani kwa waislamu. Ni desturi mbaya ambayo inatakiwa kuepukwa. Inajulisha pia kutokuwa na haya.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Makaanat-ul-Mar’ah fiyl-Islaam, uk. 620
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-vigelegele/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)