Mataa yenye kuangaza sana dukani


Swali: Baadhi ya maduka yanaweka mataa yenye mwangaza mkali kwa ajili ya kung´arisha bidhaa zao. Je, huu ni ulaghai?

Jibu: Hapana. Mataa sio ulaghai. Ulaghai unakuwa katika yale yaliyofungamana moja kwa moja na bidhaa, kama vile mapambo, rangi na mengineyo. Ama umeme sio utapeli.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
  • Imechapishwa: 04/02/2022