138- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye amepita pambizoni na mtu mwengine aliyesimama na kukojoa na akamsalimia. Akajibu:
“Amrudishie salamu baada ya kumaliza kukojoa. Asisalimie wakati yuko anakojoa. Amalize kukojoa kwanza.”
- Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/111)
- Imechapishwa: 06/02/2021