Malaika wenye kujiepusha na mapicha na mbwa


Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Malaika hawaingii kwenye nyumba ilio na picha na mbwa.”

Hawa ni Malaika wepi?

Jibu: Ni Malaika wenye rehema. Kuhusu Malaika wenye kuandika matendo na wengineo wanaingia. Malaika wenye huruma ndio ambao hawaingii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017