Maji yasiyotosheleza wudhuu´ kamilifu

Swali: Ikiwa kuna maji yasiyotosheleza wudhuu´ kikamilifu. Nitawadhe kisha nifanye Tayammum au nifanye Tayammum peke yake?

Jibu: Ikiwa hakuna maji ya kutosheleza, atawadhe yale atayoweza na afanye Tayammum kwa vitavyokuwa vimebaki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 13/11/2016