Maandamano sio katika uongofu wa Uislamu


Swali: Je, inajuzu kufanya maandamano ya amani ikiwa serikali inaruhusu hilo?

Jibu: Sio katika dini ya Uislamu. Maadamano sio katika Uislamu. Kwa kuwa ni vurugu na uharibifu. Katika Uislamu kuna maelewano, nasaha na mawasiliano na watawala au kuwaandikia barua au kuwasiliana na wale ambao wanaweza kumfikishia. Ama maandamano, sio katika uongofu wa Uislamu. Kwa kuwa ni fujo na kiburi na yamechukuliwa kutoka kwa makafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14100
  • Imechapishwa: 05/09/2020