Swali: Je, maandamano dhidi ya watawala makafiri…
Jibu: Maandamano hayajuzu kwa kuwa yanapelekea kumwaga damu na kuharibu miji na mali. Haki haifikiwi kwa kupitia maandamano. Inafikiwa kwa kupitia njia za Kishari´ah ikiwa kama kuna uwezekano. Ikiwa waislamu wanaweza hilo itakuwa kwa njia hiyo, vinginevyo waislamu watatakiwa kusubiri mpaka pale ambapo Allaah atawasahilishia faraja.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.ws/sites/default/files/muhadharah_01_03_1433.mp3
- Imechapishwa: 05/09/2020