Swali: Je, inajuzu kuzungumza na muadhini anaadhini adhaana ya Ijumaa na kadhalika baina ya Khutbah mbili?

Jibu: Hakuna neno. Lakini pamoja na hivyo amfuate muadhini, hili ndio bora. Lakini lau atazungumza hakuna neno. Kadhalika baina ya Khutbah mbili hakuna neno

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014


Takwimu
  • 25
  • 413
  • 1,821,444