Swali: Ni ipi hukumu ya kuzungumza wakati Khutbah inatolewa kwa nisba ya mtu ambaye hajaingia Msikitini bali yuko njiani anaelekea Msikitini? 46

Jibu: Ikiwa anamsikia Khatwiyb asizungumze. Ama ikiwa hamsikii Khatwiyb hakuna neno (akazungumza).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014