Kuvunja sanamu linalouzwa kwenye dula la mtu


Swali: Nikiona sanamu linauzwa kwenye duka miongoni mwa maduka. Ni lazima kwangu kulivunja na kuliondosha?

Jibu: Humiliki jambo hilo. Nenda kawashtaki kwa polisi au mfikishie khabari mtawala ikiwa unaweza kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
  • Imechapishwa: 05/09/2020