Kutengana na mwanaume asiyeswali


Swali: Dada huyu anauliza anasema. Mume wangu haswali kamwe [baki ya swali haliko wazi]…

Jibu: Ikiwa haswali kamwe, si msikitini wala nyumbani, basi ni lazima kwako kuomba kutengana naye. Nenda mahakamani na uombe kutengana naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13267
  • Imechapishwa: 20/09/2020