Swali: Mke wangu anakataa kuzaa na sisi tuko na mtoto mmoja kwa hoja ya kwamba hali ya kimaisha hairuhusu kuwa na watoto wengi kutokana na majukumu na mengineyo. Ni ipi hukumu ya kauli yake?

Jibu: Mtoto riziki yake inatoka kwa Allaah. Haitoki kwa baba yake wala mama yake. Ama ikiwa hataki kushika mimba, kuna dawa: mtafutie mke mwengine pamoja naye. Oa mke mwengine juu yake ambaye atakuzalia watoto.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13369
  • Imechapishwa: 20/09/2020