Kumpa zawadi mudiri wa shirika ni rushwa

Swali: Inajuzu kumpa mudiri wa shirika zawadi kwa ajili ya kutaka kumlingania na ili aweze kunyooka?

Jibu: Hapana. Haifai kumpa mudiri chochote. Kumlingania mtu hakukufungamana tu na kupeana zawadi. Unaweza ukamlingania pasina kumpa zawadi. Kwa kuwa kumpa zawadi ni rushwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020