Swali: Ni ipi hukumu ya yale yanayofanywa na baadhi ya waislamu magharibini ambapo wanageuza makanisa, masunagogi na sehemu zingine za kikafiri kuwa misikiti?

Jibu: Ni sawa kuswali kwenye kanisa kama ni kusafi na hakuna picha. Ni sawa kuswali hapo muda wa swalah ukifika. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nimefanyiwa ardhi yote kuwa ni ni mahala pa kuswalia.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-10-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017