Swali: Tulinunua mgahawa na mmiliki wake wa kabla akatwambia kuwa jina la mgahawa linarejea kwa kaburi katika mji mmoja wa Kiislamu, jambo ambalo linapelekea kuadhimisha makaburi na watu wanaliunganisha jina hilo na matembezi ya kaburi hilo. Unatunasihi nini? Tunapata dhambi tukiliacha jina hili?

Jibu: Mgahawa huo unaitwaje?

Muulizaji: Sanad Shahpar.

Jibu: Ikiwa maana yake ni shirki hivyo itakuwa haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-10-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017